Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Sunola vp hapo R. Ireland. tuweke both to score au. maana kunasiku mdau mmoja alinipa ushauri nijilipue then zote zikakubali.
 
Huyu Denmark nae ni jipu ... anashindwa kumpiga Bosnia & Herzegovinia ... grrrrrrrr
kamkeka kalikuwa kanaenda vzr kabisa ... mxiiiiiuuuuuuuuuuuu

 
Yaani huwezi amini nimemfuata Jordan na point zake nyingi dhidi ya U.A.E hajaniangusha,sasa hivi nabana hapa ili matokeo ya China na Singapore yabaki kama yalivyo niianze weekend vizuri kabisa.
 
Aisee betting sometimes ni ngumu sn, mara nyingine ukiwapa 2+ hawatoi, ukiwapa 2-6 wanataka sifa na kupitiliza .. Ona sasa Japan kampiga mtu 6-2 dk ya 86.
Mtaji umegoma kubembelezeka ... pole sn mzazi.
Ningekuwa nasubiri mechi ya Thai vs Syria kama sio sifa za hao kina Shinji.
 
Yaani huwezi amini nimemfuata Jordan na point zake nyingi dhidi ya U.A.E hajaniangusha,sasa hivi nabana hapa ili matokeo ya China na Singapore yabaki kama yalivyo niianze weekend vizuri kabisa.


Hahaha ... huko ndiko kujilipua, kwani Jordan walikuwa na odds ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…