Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Samatta kaamua kuninyima mia 4 hivi hivi. Ngoja nikajilipue handball maana mpira wa miguu lazma kunamchawi atatokea.
 



Bet Won !!

At least confidence imerudi kdg.
 
Maombi yenu plz kila mtu kwa imani yake ili mechi ys Siera lione vs Sudan itoe 2+ nile 2m

Kwenye sita amebaki yeye tu
 
Maombi yenu plz kila mtu kwa imani yake ili mechi ys Siera lione vs Sudan itoe 2+ nile 2m

Kwenye sita amebaki yeye tu


duuh kumbe game iko dk ya 82 !!! ... hapo unahitaji muujiza. Ila hali ni tete.
 
Wakusoma tunakuombea yani hapa nimebana pu**mb nasali na nafanya meditation kwaajili yako ukila wewe tumekula sisi kwa kumkomesha kanjibay
 
Wakusoma tunakuombea yani hapa nimebana pu**mb nasali na nafanya meditation kwaajili yako ukila wewe tumekula sisi kwa kumkomesha kanjibay


Haswaaaa ... maana huyu ms**ge anatupiga za uso mnooo.
 
Naona ishi imegoma. Sijui nilinuweka wa nini huyu. Eti nilimtoa German sbb ya odd ndogo nikamweka huyu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…