Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo




Bet Won !!!
 
Dah ******** Brazil yan wewe mbwa ni wakunifanyia hivyo Mimi kweli hata hawa mataq wanashindwa kufunga hata gol moja. Ama kweli nimeamini sasa nina gundu hata sijielew yani ningekuwa na uwepo ningewa ningewafi.. Kra pevu pevu wote haiwezekan match mzima hata goal moja msifunge agrrrr.
 
Niliwapa wapate gol 1 kipindi cha pili
 
Nimeamka mwepesi sana ndo nimefungua mkeka
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Kanji knimekuta kaniachia ki laki moja changu daa sijui niende kanisani ila nimechelewa
✍️✍️✍️✍️✍️✍️ngoja nigonge mkeka mpya mapema
 
usisahau kuutupia tudese.
 
Buddy kama nakuona vile. Hongera sana. naona waustralia wako wameanza mapema sana leo.


Asante sn Chief ... aisee Australia jana wamenitenda sn. Saiv bado najaribu kuangalia upepo kabla cjatupia, la sivyo namrudishia Kanjibay yoote nliokula jana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…