officer tiko
Member
- Apr 10, 2016
- 14
- 9
alafu swala la salio nimenunua vocha ya buku na ipo til nwhayo maelekezo nimefata yote na ndio maana nikauliza baada ya kuletewa text hii zaid ya mara mbili "Samahani! Huna salio la kutosha kutoa 30. Salio lako ni 35100.26. Kuangalia akaunti yako tembelea www.mkekabet.com na kwa msaada piga 0758606197 18+"
alafu swala la salio nimenunua vocha ya buku na ipo til nw
Good morning ... !!
------------------------------------
- Sunday 05. June 10:00
Rockdale City Suns vs Hakoah Sydney
Over/Under Full time 2.5
Bet: O
Odds: 1.39- Sunday 05. June 10:00
APIA Leichhardt Tigers vs Parramatta
Over/Under Full time 2.5
Bet: O
Odds: 1.39- Sunday 05. June 09:00
South Melbourne vs Northcote City
To Win Both Halves
Bet: 1
Odds: 2.16
Total odds = 4.17
Mkuu vp mbona kama Sydney na rochidale FC match zimehairishwaBET Lost !!! grrrrrrrrr
Mkuu naona baadhi zimeahirishwa
Buddy vp hao waliohairisha mkuu mana nimebetia m bet nyumban ya mwezi sijui inakuwaje ndo watarudishia hela yangu ama.
Mim brazia ya kike ndo kaniulia 127k yangu asubuh asubuhi mkuuView attachment 353789
M-Bet wamenipa kamtaji jana kha!
mkuu, DRAW NO BET ina maana gani?
timu ikishinda unapata na faida, ikitoka draw unarudishiwa hela yako (odd=1) ikifungwa umeliwa
nipo hapa Superbets mwenge ngoja na mimi niweke mzigo, nipeni masekeView attachment 353789
M-Bet wamenipa kamtaji jana kha!
mkuu, haya matimu ya kichina unahitaji uwe na roho ya chuma kuyabetia.....yaani hayatabriki kabisa.Hizi timu ka Kichina ni ovyo kabsa