Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

LAZIO ndo kwanz anatoka na mikeka ya watu, bado na vimbwengo vya chelsea ~~~~~~~~uw!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Mkuu vp Leo nba
Nimeunguza ac mzee...code niliyoistake...niliipania odds 15...but kikapu 🏀 sumtymz kina matokeo ya kikatili mno...

Nitarejea tena kwenye game.... Ninavyostake sku hizi nimebadilika....Ili nikibutua! ,nimebutua haswa! Ila inshallah....maana muda unaotumika kuchambua ni mwingi.....
I have to take a brake for now...

Matokeo ya Eurocup 🏀 leo hayajamuacha mkamaria yyt wa kikapu salama mzee....yameushangaza ulimwengu wa kikapu!
 
Narudia tena kanji sio boya[emoji1787][emoji1787]
 
dah esperence ndio wa kuliwa 3-1 na zamaleki?
kazi kweli kweli
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Aisee, Dortmuund kaondoka na kijiji chake bora leo umebunda
naombea apate goli tu, ndio mkeka pekee uliobaki, na kanji wa sportybet ka-lock cashout[emoji17][emoji17][emoji17],
asipopata goli dortmound sijui kama nitalala,
 
hii ya leo imeniuma, laki 2 kwa 200 dortmound kaninyima goli moja tu yeye peke yake????

shikamoo betting[emoji1430][emoji1430][emoji1430][emoji1430][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Overcome [emoji123]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…