Wazee wa matren huwa hatuweki hela nyingiUngeweka buku
Acha sound mzee ule 198,000 ndo upigiwe simu na bookmaker kweli??Mhindi leo kaliwa tena kibabe
Nimemla kubwa mfululizo hadi leo kanipigia simu..[emoji23][emoji23]
View attachment 2542037
hii mechi psg anaweza kushinda na kuvuka vile vile,Bayern Munich vs PSG
Hii Mechi hiii,ipo kimtego mnooo
Yaani PSG amesetiwa odds kama Ruvu Shooting vile.
Kila option unakuta ni under dog na sio under Mbwa.
Najiripua,nampa over 1.5 kwa PSG
Maana Mechi iliyopita Mbappe goal 2 VAR ilichomoa.
maumivu ya jana tusikumbushane, odds 691 goli la dortmound likaninyima 200k kwa 200.......Asinikumbushe Mdau, yaani Jana alichofanya Chelsea kumbana Dortmuund Bila hata goal Moja?
Ungechukua hata mtaji mzeee[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Unasusaaamaumivu ya jana tusikumbushane, odds 691 goli la dortmound likaninyima 200k kwa 200.......
dk 90 wakanipa cashout ya 9k sikuchukua, [emoji23][emoji23][emoji23], kupaniki sio kuzuri
Mkuu ukazira kuchukua 9k ungechukua tu upate mtajimaumivu ya jana tusikumbushane, odds 691 goli la dortmound likaninyima 200k kwa 200.......
dk 90 wakanipa cashout ya 9k sikuchukua, [emoji23][emoji23][emoji23], kupaniki sio kuzuri
azam wataonesha channel gani hii mechi?Hem acheni analysis zenu nyingi apa. PSG anakamiwa vizuri sana hashindi hata kwa ulozi[emoji1787]
Anataka umkopeshe?Mhindi leo kaliwa tena kibabe
Nimemla kubwa mfululizo hadi leo kanipigia simu..[emoji23][emoji23]
View attachment 2542037
Mzee Johnny,hiyo ni promo account unajichosha tu,walikuepo humu wenye swaga kama zako,mwisho wamepotea..[emoji23]Mhindi leo kaliwa tena kibabe
Nimemla kubwa mfululizo hadi leo kanipigia simu..[emoji23][emoji23]
View attachment 2542037
site gani hii?Chukua odd 2 hapo,acha tamaa
😂😂 Kumbe kuna promo account leo ndio nasikia kwakoMzee Johnny,hiyo ni promo account unajichosha tu,walikuepo humu wenye swaga kama zako,mwisho wamepotea..[emoji23]
Sent from my Infinix X6511G using JamiiForums mobile app
Ananiambia nimekuwa mteja wao mzuri hivyo wanataka wanipe ofa, kama tiketi za bure za mechiAnataka umkopeshe?
Ndani ya wiki mbili nimemla zaidi ya milioni 1, kwa high stakes, labda sababu ya stakes zangu kubwa labdaAcha sound mzee ule 198,000 ndo upigiwe simu na bookmaker kweli??