Bani Israel
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 2,284
- 4,595
M bet wameniudh sana yan team zilizo hairishwa jana kwenye mkeka wangu badala wanirudishie wamewala lost wakat mechi hazikuchezwa agrrr
Mbet wagumu primier kama ulichagua tim7 zikaonekana 6 umepata 1 imeshimamishwa wanakulipa tim ulizo shidaM bet wameniudh sana yan team zilizo hairishwa jana kwenye mkeka wangu badala wanirudishie wamewala lost wakat mechi hazikuchezwa agrrr
M bet wameniudh sana yan team zilizo hairishwa jana kwenye mkeka wangu badala wanirudishie wamewala lost wakat mechi hazikuchezwa agrrr
1 lost,1 won.View attachment 353808
View attachment 353807
Mikeka miwili hiyo,leo nina kamtaji so stake sio mbaya.
Ujinga pekee ni kumrudia Belgium kwenye mikeka yote miwili..
View attachment 353973 View attachment 353974 View attachment 353973 View attachment 353974 View attachment 353976 View attachment 353977 Endeleeni kung'ang'ania hukosisi tupo na premier betting tz kodi inasanehewa kupitia bonus
hapo sasa naweza kukufuata.Matimu 21 kila siku unakufa na moja.... Ngoja tuanze hizi system mwisho timu 5 , natafuta odds 2.... Turkey na Croatia mechi zao zisitoe goli 3 kipindi cha pili ,Italy na Poland win normal
hapo fresh
CD Moron
Poland
Malaysia
Italy
Halmstads
WIN.
View attachment 354006
Nishaigilizia..teh teh
seoul kashafanya yake
Aalikuwa anaongoza 3-1,jamaa wakacharuka zikarudi zote na la ushindi mie hoi ..seoul kashafanya yake
Wadau mkeka bet ni jipu number zao hazipatikani zote!ukituma sms kutoa mpunga haiendi au tatizo ni kwangu tu!
Wakuu hapa Superbet kuna fixture za mechi zote za Copa Amerca na za Euro CUP mpaka tarehe 22 June tupeane maseke basi niweke mkeka mmoja mpaka tarehe hiyo mech zote na za EUROCD Moron
Poland
Malaysia
Italy
Halmstads
WIN.