Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hakuna namna nyingine mkuuπŸ˜‚
Unakuta umeliwa amsini au laki kabisa, afu mi nikiliwa naanda bajeti nyingine naenda zangu club napiga vikali afu sina time na mtu, wala shobo, unashangaa demu kajisogeza kwako eti kaka mambo hivi samahani umeona sijui nini mezani nilisahau kumbe anataka union afu mi simuwazi yaani nikiwa moodless ndiyo huwa nakulaga pisi😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…