Poland
Leo nimepigwa ten, kesho nalipia huu mkeka mapemaaa,mie leo nalala bila mkeka. ila kesho natoka kama hivyo.
Vasco da gama win 2.12
Atletico go win 3.34
C R B win 1.69
Avai win 3.68
Ngoja nitafute ten kesho asubuhi then nikiwashe.
Nahuu nakopi na kupestiiii, yerewiiiMkeka no2 kesho ni
Criciuma draw 45' odds 2.00
Ceara draw 45' odds 2.02
Vila nova draw 45' odds 2.08
hapo naweka buku 5.
Mungu baba bariki mikeka ya watoto wako tunaotafuta usiku kucha ili mkono uende kinywani.
Wameshinda mkuu mm namsubir panama na argentinabado itay vs Finland
HAWA NI WA BRAZIL MKUU WANAJUA MPIRA KISHENZI NAHISI ATLETICO NA AVAI WATAUCHANA MKEKA MAPEMAmie leo nalala bila mkeka. ila kesho natoka kama hivyo.
Vasco da gama win 2.12
Atletico go win 3.34
C R B win 1.69
Avai win 3.68
Ngoja nitafute ten kesho asubuhi then nikiwashe.
Hapo labda Avai mkuu. ila Hao atletico go nawaonaga kupitia bein Sport. Wapo vizuri sana.HAWA NI WA BRAZIL MKUU WANAJUA MPIRA KISHENZI NAHISI ATLETICO NA AVAI WATAUCHANA MKEKA MAPEMA
Bet wonRisk takers panama vs bolivia 2+ odds 1.68
Sina hamu, nilimpa under 2.5 kwenye mikeka ambayo ilikuwa bado inapumua, kaichana rasmi...Bet won
Halafu hii mechi under ilikuwa n point 1.37, 2+ 1.68 Over 2.5 point 3 bora ungefata 2+Sina hamu, nilimpa under 2.5 kwenye mikeka ambayo ilikuwa bado inapumua, kaichana rasmi...