Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,781
- 20,059
Poland kafanya yake
Katuliza kweliAlichotufanyia Poland jana sio kitu kizuri kbs.
Ok nimekusoma mkuuBragantino na Australia wataharibu hao. Bragantino mechi sita za ligi amefunga goli tatu tu alaf yupo mkiani huko. australia hapo cheza magoli mkuu. mechi za kirafiki hizi mapichapicha.
Bragantino na Australia wataharibu hao. Bragantino mechi sita za ligi amefunga goli tatu tu alaf yupo mkiani huko. australia hapo cheza magoli mkuu. mechi za kirafiki hizi mapichapicha.
hongera sana mkuu siku nyingine utupie aklaki hapoBaada ya Poland kusababisha Kanjibah kula 50K yangu, ikabidi niirudishe kwa style hii ...
View attachment 354219
Evrex Basket win
Fernebence win
Spain win
IFK varnamo-Orgryte GG
Japan 2+
USA win
Brommapojkarna IF- Arkapolis IF GG