Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

BRAZIL vs HAITI OVER 1.5 HALFTIME
ECUADOR vs PERU (ECUADOR WIN HALFTIME)

Stake 300,000
Return 1,536,000 Leo muhindi nimemkamua karibu 480K as a profit. Ila sijazoea kujilipu stake kama hyo. Ngoja nizimie alafu kesho nifufuke.
Polee umemrudishia 75%.Uyu kanjibai hafai kabisa.
 
Meridian wanasumbua kwangu tu, au kwa wote...? Mbna nashindwa kuwaelewa..
 
Bet of the day ya juzi na jana zimetoka kwa muindi huko
 
Anayeweza kudiposit hela premierbeting online jama anielekeze
 
Anayeweza kudiposit hela premierbeting online jama anielekeze
Ukishaingia kwenye accounts yako unaenda kwenye deposit,.. then utachagua tigo pesa au m pesa kisha utaweka kias na kuconfirm then utapewa namba ya muamala ambayo utaitumia baadae kwenye kudeposit
 
Nimejaribu kujoin meridianbet.
Sasa wakati wa kulogin inakataa.. Msaada jaman.
 
Ukishaingia kwenye accounts yako unaenda kwenye deposit,.. then utachagua tigo pesa au m pesa kisha utaweka kias na kuconfirm then utapewa namba ya muamala ambayo utaitumia baadae kwenye kudeposit
Mbona web yao zinasumbua mkuu mim toka asubuh siipati. Naambia web not available
 
IFK MARIEHAMN WIN 12
CORDOBA WIN 12
TSH 5000, tegemea kushinda m na ushee
Leo nipo mkeka bet.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…