Mexico vs Jamaica 3+mkeka wa maana leo ni upi
Yupo vizuri kiaje mkuu.....Kama upo vizuri njoo whatsapp group ya betting
2+ wote haoMexico vs Jamaica 3+
Uruguay vs venzuela 3+
Imetulia sure 100%2+ wote hao
Pole sana mkuu bet haina fomula.Ndio kilichonitokea jana kwa UCAM Murcia niliweka timu kumi na moja but hii UCAM nilisita sana kuiweka badala yake nikaitoa Palmers U20 nikaiweka UCAM ilichonifanya siisahau maana timu zote zilishinda yeye aka draw.
Wengine ndio tumetoka kwenye miangaiko.Tupia basi.Naona kimyaaaaa ... wadau mmeshatupia mbegu mnasubiri kujua kama mavuno yapo au wadudu waharibifu wameshafanya yao. Teh te teh teh
Nakusubiria uweke wako nigandamizie.Naona kimyaaaaa ... wadau mmeshatupia mbegu mnasubiri kujua kama mavuno yapo au wadudu waharibifu wameshafanya yao. Teh te teh teh
Dah hawa meridian wanazingua tangu asubuhi kabisa
Ok nimeweza now, mana nlikua nashindwa kulog inMbona nimebet poa tu
81' 0-162' Rakvere JK Tarvas | 0 - 0 | Tammeka Tartu
by thelivescoreapp.com
I need 2+ here