Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

au zote 2+(odds zinakuja zaid ya 2.00)... (nimeogopa kuuliza habar zenu maana kuna watu wanahasira humu, hasira zote za madevu zaweza hamia kwangu)
au zote 2+(odds zinakuja zaid ya 2.00)... (nimeogopa kuuliza habar zenu maana kuna watu wanahasira humu, hasira zote za madevu zaweza hamia kwangu)
ahahaaaa poa mkuu hata hiyo sio mbaya
 
Sijui kama kuna mtu alifata hii, nlichelewa za 1800hrs nikacheza zilizosalia nikatia na madoido mengine kitu kikaita, kasheshe ipo sasa hivi jamani niombeeni maana nilivyojilipua anajua Mungu tu, goli lisiongezeke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…