Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wadau Kwa mechi iz kuipa timu ushind muhind atatukamata sana Bora mwendo wa maogor na over and under.
 
Tuliokuwa wote hapa tunamsubiri Spain tu ... 🙂
 
Hapo ndo pakuyabinya hasa...hehe

Acha kbs Chief ... but I hope akina Morata hawataniangusha.

Spain (currently 6th on FIFA rankings) vs Czech Republic (currently 30th on FIFA ranking) ... I have reasons to believe ingawa Football is full of surprises ..
 
Russia ni wangapi na england ni wangapi!!!?? ... Brazil ni wangapi na Peru ni wangapi!!?? Uruguay?!!! ...... Ranking sii issue .... Game ikianza wanaume wote wako sawa

Sure lakini inasaidia kukupa mwanga kujua timu flani ina ubavu kiasi gani dhidi ya mwingine. Mpira ni mchezo wa makosa ... makosa ya kiufundi, upangaji wa timu, kuna red cards, penalty etc vinaweza kupeleka matokeo tofauti na wengi wanavyotarajiwa. Ndio maana nimesema "Football is full of surprises" ...

Brazil kufungwa na Peru game moja haimaanishi Peru ni bora kuliko Brazil. Sawa na Watford kumfunga Arsenal, haimaanishi Arsenal ni mbovu kuliko Watford ... things happen in football.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…