ogopa timu zinazokwepa kushuka daraja,Watford alivyofunga mapema sana moyoni nikaumia kwanini nimeweka over 0.5 na sio Watford win au over 1.5 kwa sasa kinachoendelea huko namshukuru Mungu aisee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa mbona kama unanikatisha tamaa ya hili treni kutoboa aisee 😁😁ogopa timu zinazokwepa kushuka daraja,
huddersfield na cardif aisee sio poa, wanachana mikeka hao!
kumbe tulikua pamoja mkuu...sasa hivi tungekua tunamskilizia Luton tu sema ndio hivyo huyo kiande kavuruga mipangoKuna mwana katia code tamu ilikua na odd ngumu sana afu imechanwa na CSKA MOSCOW alimpa straight,katunyima maisha msenge huyu
washanichania mikeka mara kibao hao wehu,Sasa mbona kama unanikatisha tamaa ya hili treni kutoboa aisee [emoji16][emoji16]
Tulikuwa wengi😃kumbe tulikua pamoja mkuu...sasa hivi tungekua tunamskilizia Luton tu sema ndio hivyo huyo kiande kavuruga mipango
Benki ndo kama inavyoonekana hapo sh 3 leo nikikosa chochote ni mpaka jumamosi [emoji16][emoji16][emoji16]
code broBenki ndo kama inavyoonekana hapo sh 3 leo nikikosa chochote ni mpaka jumamosi 😁😁😁
Wataalam wa matren na kubonyeza bonyeza hatuwez acha mia mia na double digtlVipigo vikizidi watu wanaweka 100 waambulie hata kidogo wajipange, inaelekea mkeka uliku una odds nzuri (watakuwa wameambulia japo mtaji)
Hizo zishaanza kaka au nikupe hivyo hivyo tucode bro
Ipo siku atajaa tuTulikuwa wengi[emoji2]
ukibet kwa kuangalia odds kanji atatuchakaza...kikubwa ni kufatilia timView attachment 2593423
Hebu assume team ina odd za iv inakunyima ushindi [emoji23][emoji23][emoji23]
Msaada kuhusu hawa wanaouza fixed games, wanatabiri correct score, kuna ukweli wowote? Au utapeli.... Kwa waliowahi kupitia experience hiyo tusaidie
TUmia akili ya kawaidaMsaada kuhusu hawa wanaouza fixed games, wanatabiri correct score, kuna ukweli wowote? Au utapeli.... Kwa waliowahi kupitia experience hiyo tusaidie
kwa watumiaji wa bet pawa kanji ana ule mtindo wa kuiwekea tim [emoji91][emoji91][emoji91] unaweza jua tim ndio ipo on fire ukija kuifatilia unakuta ni kibwengo tu
Jumapili aifiki utakuwa umesharudi chamani katibuKama nilivyoahid leo me naanga nimemrudishia mhindi hela yake na naona tayal watford ameshachana mkeka hawez pindua meza
Siku nimeumia nimeweka mkeka wa team 20 kwa elf 10 napiga 24m et team moja ikachana sitasahau [emoji23][emoji23][emoji23][emoji110]
Mengine all the best endeleza mapambano [emoji110][emoji109]