The king9999
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 382
- 939
Hongera Sana mkuuLeo nimempasua muhindi daadekii Tshs 721,000/= heheheee
Mbona hukutupa code mkuu ππLeo nimempasua muhindi daadekii Tshs 721,000/= heheheee
Ushahidi leta hapa mnatuongopea mnooLeo nimempasua muhindi daadekii Tshs 721,000/= heheheee
Pongezi chief[emoji4][emoji106]Leo nimempasua muhindi daadekii Tshs 721,000/= heheheee
Ulimpa direct win?Dah! Odds 13 zinakuja kuchanwa na mechi ya mwisho mancity ku-draw!
Tuko pamoja siti ya dirishaa....Treni letu limepita morogoro salama tuendelee kuomba Mungu wakuuπππ
Hatar sana, zanakaza balaaHuyo kadif mwaka 2018 alikuwa anajua kabisa anashuka daraja na mechi ya mwisho alicheza na man u, unaambiwa alipiga mpira huo kama ananacheza fainali ya uefa. Mchezaji mmojawapo alikuwa anaitwa Babel pumbaf zake sijui yuko wapi!
Mwisho wa siku akashinda 2-0 na mkeka wangu ukawa chali.
Timu inayoshuka daraja ni sawa na demu mwenye ukimwi, ni mtego.
Haya mkuuUshahidi leta hapa mnatuongopea mnoo
ππππHaya mkuu