Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Siku hazilingani mkuu

Jana ilikua siku nzur ktk betting,

hiyo option yako ungeicheza juzi jumapil nadhani ungelia kilio Cha kusaga na meno

Timu kibao zilitoa under 2.5 na ushindi mwembaba Sana wa 1:0 ,2:0 ,n.k

Zaman tulikua na option ya 10min-X,
Alipiga Sana Ela mkuu mmoja anaitwa PROFESSOR ,

baadae option ikaback fire
Timu zikawa zinanyukana mapema mno, option ikamsaliti akaachana nayo[emoji4]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…