Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

hahahahahahahahah poleni wakuuu kwa kuzibinyaaa mwenyewe nlitaka goli moja tuu kutoka wa hawa majamaaa maana niliweka fulltime over 0.5. Kinyume na hivyo spain ingefanya kinyume na maelfu au malaki ya mikeka ya watu.
 



Tuliokuwa wote wapa na tugonge cheeeerzz!! --- Ben Won !! [emoji4][emoji4]

Ila siku nyingine tujaribu kufuata ushauri wa Wa Kusoma, tusiangalie mpira tusubiri matokeo ya mwisho, maana hii presha ya leo aliyotupa Spain haielezeki.
 
mkuu, kwani Fenerbahce wamecheza leo, mbona sijawaona kwenye fixture?
 
Jamani wenye kujua premier bet mechi ikiahirishwa inakuwaje. Wameshika mtaji wangu wiki ya tatu sasa.
 
wakuu, kwenye game ya spain nimeminya p*m*bu kidogo zijachanike....nimekoma kuweka timu moja kwenye mikeka mingi hata ingekuwa na uwezo kiasi gani....kilichonitokea kwa brazil kimenipa funzo kubwa sana.
Hii michuano haina timu kubwa. Mi wengi nawapa 1/x au 1/2
 
Swaziland - Seychelles
Swaziland
1.61


Madagascar - Zimbabwe
Zimbabwe
2.32

Total odds = 3.74

Ushauri nataka kujilipua na 100,000
 
Swaziland - Seychelles
Swaziland
1.61


Madagascar - Zimbabwe
Zimbabwe
2.32

Total odds = 3.74

Ushauri nataka kujilipua na 100,000
Nashindwa kuelewa kwa nini wamempa Zimbabwe odds nyingi ivyo, nimempa kibabe tu.
 
naona muhind anataka kunipiga WASH magoli hayapatkan tu akna zlatan
 
Wadau msaada jamn kwenye account yangu ya meridian upande wa casino blackjack nimekuta balance ya us dola kazaa ivi af kwenye account kawaida uku ya kubet ciioni ivi hii inakuaje wadau msaada wa alaka plz
 
Sasa Mungu ana shidaaaa ...wengine wanaomba Ireland aongeze ,wengine Sweden arudishe, wengine arudishe ashinde, wengine wamezuia goli ,wengine wanataka 2+ hawajali...... Afu wote tunamuomba Mungu huyuhuyu!!??? Anakazi sana ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…