Mbacho Massawe
JF-Expert Member
- Apr 24, 2016
- 304
- 248
Betpawa
Kujarbu tu wadau.....ACHA ushabiki leo Kwa mkapa pagummmuuuu
Yan hii kitu ya kupitisha pesa kwa mtu mwngn ndio ikufikie siwezi kuifanya, bora nikomae na sportybet yangu tuuHivi mnaohangaika na hao mawakala huko xbet huwa Kuna fixed matches au nanyi mnapigwa tu kama huku betpawa na sporty bet?
Yanini kuhangaika kupitisha hela kwa mtu mwingine wakati Kuna kudeposit moja kwa moja.
Mpigwe tu
Ni watu kutojua kutumia simu..mutandao yote washajiunga na master card...ukishajiunga na mastercard unalipia directky hata 1XbetYan hii kitu ya kupitisha pesa kwa mtu mwngn ndio ikufikie siwezi kuifanya, bora nikomae na sportybet yangu tuu
Itabidi uwafundishe ili waache kulia-liaNi watu kutojua kutumia simu..mutandao yote washajiunga na master card...ukishajiunga na mastercard unalipia directky hata 1Xbet
Tafuta mtu akufunze Matumizi ya MasterCard, just imagine umekula mkeka wa milion na unatakiwa wakala akutoleeHivi mnaohangaika na hao mawakala huko xbet huwa Kuna fixed matches au nanyi mnapigwa tu kama huku betpawa na sporty bet?
Yanini kuhangaika kupitisha hela kwa mtu mwingine wakati Kuna kudeposit moja kwa moja.
Mpigwe tu
Siwezi kushiriki dhambi hii ya kumuua Mnyama (Joke)
Kaka Eka ushabiki pembeni upge pesaaSiwezi kushiriki dhambi hii ya kumuua Mnyama (Joke)
Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
Rebet tuendelee na safari mkuu.LimeangujaView attachment 2596071
Unafakili hatujui kuhusu hiyo master card ya mitandao ya simu, hiyo virtual mastercard inakuruhusu kudeposit only ila huwezi kuwithdrawNi watu kutojua kutumia simu..mutandao yote washajiunga na master card...ukishajiunga na mastercard unalipia directky hata 1Xbet