Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hii game ya Simba ni ngumu mmno kuitabiria
Ukisema Widad win ka slogan ka kwa mkapa hatoki mtu kana kushtua
Ukisema Simba win lakini ukikumbuka ya Raja unashtuka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hapa unajitoa tu muhanga na odd ya maana tu

Simba win under 2.5 odd 3.5
 
pia ,kuna mikeka kama 30 hivi nilikua najaribu kama nutaotea draw , naona mbili zimetick hzo zingine zimeahirishwa , hivi watanilipa hiyo hela yote ?

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…