Kweli Mzee, VIP tuendelee kusubiri? Maana cash out inatamanisha. Ingawa kuna kitu kinaniambia SUBIRIkwa wale mliofata codes za draw or over 2.5 , saiz mtaona mtaji umerudi na profit
Nilimpa Wydadulimpa nani?
Nilimpa Wydad
Umetisha mzeeHii game ya Simba ni ngumu mmno kuitabiria
Ukisema Widad win ka slogan ka kwa mkapa hatoki mtu kana kushtua
Ukisema Simba win lakini ukikumbuka ya Raja unashtuka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapa unajitoa tu muhanga na odd ya maana tu
Simba win under 2.5 odd 3.5
Hii game ya Simba ni ngumu mmno kuitabiria
Ukisema Widad win ka slogan ka kwa mkapa hatoki mtu kana kushtua
Ukisema Simba win lakini ukikumbuka ya Raja unashtuka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapa unajitoa tu muhanga na odd ya maana tu
Simba win under 2.5 odd 3.5
Kachukue pesa yakoNishamtumia sms wakala wa 1xbet natoa hela ya idd baada ya game ya Simba
Nimebana korodani wydad asipate bao
Bayern lazima watamfukuza TTWawekezaji wenzangu BAYERN ya TUCHEL ni yakuikimbia
Tukale mbuzi kitunguu sasaSIMBA WIN TIA MZIGO BAADAE ULE MBUZI KITUNGUU
Mpe goli al ahlyKazi ipo kwa Al Alhy....nipeni idea nimpe nani aseee
Bayern ametuweza wawekezaji🥺🥺🥺Wawekezaji wenzangu BAYERN ya TUCHEL ni yakuikimbia
Ndio n muda/dakika za mechi hiyoHii inamaanisha muda wa mechi? Maana huwa sielew hyo View attachment 2596351
Sent from my 2201117TG using JamiiForums mobile app
Mimi niliweka over 2.5 sasahivi habari za kuipa timu mazima sitakiBayern ametuweza wawekezaji[emoji3064][emoji3064][emoji3064]