Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hahahah! Ubelgiji walie tu,hamna namnaaa...hahaha, Dakika ya 90 wanaruhusu lingine la 2 !!!!!!!!...ahahha Poor them.
 

Jana nimeweka mikeka hyo..
Mkeka 1
Umekufa kwa bucheon walitoka 1st half 0-0
Na anyang alifunga dk ya 21
Tsh 5000 odd ya 13 nimeliwa

Mkeka 2
Nimeshnda
5000 odd ya 12.19
Nimeshnda 60 952 tshs

Mkeka wa 3
Jero
Nimeliwa

Here nafaida ya buk 55..

Leo tena naweka mikeka 2 na wa bonus mmoja kwa buk 10 na jero tu hela nyngne natia mpesa
Biashara inaendelea...
Anayependa tuendelee taratbu kumake hela maisha akili muhndi analika ila si wa kumpania na mikeka 20 kwa siku
 

Tupia mkuu,Tuko pamoja.

Also, hiyo 28+ ina maanisha nini?
 
wakuu game ya austria na hungary imekaa vipi mana mimi naona kama hungary yuko vzr
 
Austria 28+
Guangzhou win
Portugal win
Chile win
Argentina i1-2
Angola i1-2
Aswan i1-2
Joinville 28+
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…