Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

mkuu gallants away huwa wanapigwa kama ngoma, hao ni newcomer kwenye mashindano ya caf,.....

mechi zao walizocheza na waarabu kwenye makundi walikua wanagongwa 4-1..... sijui pyramids wana shida gani aisee,
Pyramid hii hapo vyema sana.

Marumo mdogo mdogo anayoyoma
 
Boooooooooooooooooooommm.... Alibaki Sevilla tu. 140K🌟πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
 

Attachments

  • Screenshot_20230423-235849.jpg
    80.2 KB · Views: 26
  • Screenshot_20230423-235849.jpg
    80.2 KB · Views: 30
Sema nyie jamaa jau sana mnaonyesha baada ya kumpiga muhindi kwanini hizo code msiwe mnazieka na uku na sie wengine tuwe tunapita nazo??
Hao wote motivational speakers. Hawa ndio wanafanya tunapoteza hela. Asilimia 99% ya mikeka juzi jana na leo. Imechanika. Hizo labda wamebet pembeni ila ya humu, imechanika. Tena leo ndio imechanika hovyo hovyo. Slip moja imechana timu tatu au nne.
NIMEGUNDUA TUWE MAKINI. TUTAPITEZA SANA HELA HUMU. Kuna watu wanatuma slip zinachanika ila ili waonekane bora wanatuma slip walizojaribu sio zile za humu.
TUWE MAKINI. THREAD IMESHAHARIBIKA HIIπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…