Tunakuamini ili kama inawezekana edit au futa hii comment.Sas
NIKUSAIDIE tu ndugu yangu Jambo Jepeesi wala halihitaji akili kubwa.
-
BAYERN Munich kafungwa na kibonde
- WYDAD kashangazwa na Simba
- TOTTENHAM kachakazwaa mnoo
- PYRAMID jana hakuamnini kama Marumo gallant atamuharibia.
- FAR rabbat haikutarajia kama Algers atafanya balaa lile
Na nyingine nyingii tuu
Sasa hizo mechi zimechana 85% ya mikeka over the World.
Mpaka anaejiita NABIII wa MUNGU tens mwenye kuongoza Kanisa hapa Tanzania alibashiri YANGA atafungwa na waumini wake wakamfuata mazima hatimae YANGA kamchapa mtuu,Jpili ataandaaneno jipya la ibada
Mchezo huu hautaki lawama,huwezi kalime.Hii sio ajira
Ukiona mtu katoa mkeka umechanika basi ujue na yeye kapoteza pesa.
We Team ipo Ukraine mtu upo Mbagala,utajuaje matokea eti wakala wa Kanji
Au tufanye hivi
Kama ni sportybet mimi ndo nilileta ulikua na odds 200Wakuu, kunamtu aliweka mkeka wa over 1.5 majuzi nilicopy naona leo umetiki. Nmemsahau
Mdau umepanicTunakuamini ili kama inawezekana edit au futa hii comment.
Unajua kuchanika mikeka kupo. Ila unapotuma won slip while tunajua slip zimechanika. Unapiga miruzi kwa mbwa na unawapoteza. Bora upigwe utulie. Kuna bwana mmoja akaja ameshinda laki 4 kwa 2500. Kaja katuma slip mbili sportybet. Kaja katuma moja betpawa zote zimechanika, jioni analeta slip ya laki na ishirini. Unategemea leo asifatwe . Kama anachukua mikeka ya magroup anatuma humu iliyoshinda. Code anazoleta zinapigwa.
Ifikie mahali tukubali huku kupigwa kawaida ila sio hivvi.
Jumla ya mikeka 64 nimeweka siku tatu mfululizo imechanika yote. Ijumaa jumamosi na jumapili. Sina wonslip. This shows the reality. Hata mimi nilituma mkeka bayern akachana pekee odd 15. Ila sijaja kuleta nimeshinda niprove watu i am the best. Unapochukua mkeka wa mtu unajua nae anajitahidi kutoka jana mpaka leo. Atakua analeta kitu kizuri.
Wakina msweden uliona mikeka yao.
hahaha kumekuchaHembu DJ tupe Wimbo wa KAZA MOYo kutoka lwa Msondo ngoma tupoze Machungu
Maana leo tumeamua kupeana vichambo sie kwa sie,kweli KANJI mwanga.
Ila thanks,ni vichambo vya Kujenga na kuimarishana,nzuri pia.
LEO ipo ipo tu,but Twendeni humu
View attachment 2597769
Umeongea ukweli mkuu..pamoja na yote,siku hizi kuna utoto mwingi humu.Tunakuamini ili kama inawezekana edit au futa hii comment.
Unajua kuchanika mikeka kupo. Ila unapotuma won slip while tunajua slip zimechanika. Unapiga miruzi kwa mbwa na unawapoteza. Bora upigwe utulie. Kuna bwana mmoja akaja ameshinda laki 4 kwa 2500. Kaja katuma slip mbili sportybet. Kaja katuma moja betpawa zote zimechanika, jioni analeta slip ya laki na ishirini. Unategemea leo asifatwe . Kama anachukua mikeka ya magroup anatuma humu iliyoshinda. Code anazoleta zinapigwa.
Ifikie mahali tukubali huku kupigwa kawaida ila sio hivvi.
Jumla ya mikeka 64 nimeweka siku tatu mfululizo imechanika yote. Ijumaa jumamosi na jumapili. Sina wonslip. This shows the reality. Hata mimi nilituma mkeka bayern akachana pekee odd 15. Ila sijaja kuleta nimeshinda niprove watu i am the best. Unapochukua mkeka wa mtu unajua nae anajitahidi kutoka jana mpaka leo. Atakua analeta kitu kizuri.
Wakina msweden uliona mikeka yao.
Naunga mkono HojaUmeongea ukweli mkuu..pamoja na yote,siku hizi kuna utoto mwingi humu.
Brother...ndani ya hii thread Tunaaminiana na kupendana sana, na lengo kuu KANJI arudi kwao akauze matikiti[emoji15][emoji15]GOoooood [emoji109][emoji109](joke).. BUT..pia hatu-maind hapanaMdau umepanic
Soma comments Zangu vizuri,na mbaya zaidi unanijibu kwa comment ya mtu mwingine
πππBrother...ndani ya hii thread Tunaaminiana na kupendana sana, na lengo kuu KANJI arudi kwao akauze matikiti[emoji15][emoji15]GOoooood [emoji109][emoji109](joke).. BUT..pia hatu-maind hapana
Kinachozingua ni kwamba jamaa katuma codes 5+ [emoji120][emoji120] yote BIG lOSE
Lakn huyohyo jioni anatuletea BIG WON 200k+ [emoji24][emoji24]
Tuelewe nn hapa!!
Ni mtazamo tu lakn
Tusipanic.. tuyajenge
All n' all thanx kwa wote waleta codes na wasife moto tunazitaka sn pesa ko tuvumiliane na lugha ngumu km hz[emoji24][emoji24][emoji109][emoji109]
Daah aseeeeeeeeee niloturbo dakk ya 84 nikaambulia elf 16 tu asee turbo usenge wakati ilikuwa intoa 256Kama ni sportybet mimi ndo nilileta ulikua na odds 200
Mechi ya mwisho goal la kwanza limefungwa dakik ya 95 goal la pili dakika 97 [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1]Daah aseeeeeeeeee niloturbo dakk ya 84 nikaambulia elf 16 tu asee turbo usenge
Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
kaka kweli uchawi upo sema tren lako lilikuwa hatar mwenyew nli cash out 17000 baada yakuona hao jamaa wako 0.0Mechi ya mwisho goal la kwanza limefungwa dakik ya 95 goal la pili dakika 97 [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1]View attachment 2597866