Duuh.. mkuu hii strategy itatumia mechanism gani kufikia lengo..naomba aliye serious kubet kibiashara tuanze leo mpango madhubuti wa rollover betting,
hii mbinu ndo ya kukufanya ubet kwa malengo na matumaini makubwa!
kuanza 10k kwa odd 2 tu per day.
akili zikikutana nyingi odds 2 hazikosi kwa siku
1. jtatu 10000 * 2 = 20000
2. jnne 20000 * 2= 40000
3. jtano 40000 *2 =80000
4. alh 80000 *2 =160000
5 ijm 160000 *2 = 320000
6. jmos 320000 * 2 =640000
7. jpili 640000 * 2 = 1280000
8. jtatu 1280000 * 2 =2560000
9. jnne 2560000 * 2 =5120000
10. jtano 5120000 *2 =10240000
11. alh 10240000 *2 =20480000
12. ijm 20480000 *2 =40960000
13. jmosi 40960000 *2 =81920000
14. jpili 81920000 - 10%(tax)= kiwanja, ofisi ya uwakala wa fedha na bmw x3
Get ready!.... Kaa mkao wa kuswali!..... Keka la Taifa ! Nalidondosha Soon![emoji123]
ulituma code humu!!?Uwekezaji wa jana na buku! Jero moja mkeka wake umechanika, ulikuwa na odds 10,000+ timu tatu kati ya 15, zilichana tena ambazo huwez kuzifikiria. Nice alichana na Reims n miongoni! Jero la pili Inshallah limenipatia 100,000+ odds 200+ timu sita!
Kama hajatuma anajiropokesha nnulituma code humu!!?
NAKAZIA.Huu Uzi Hauna maana Tena ,picha zote hazifunguki ...
Leten link hata wasap tujoin wakuu
Jf naona ni wababaifu saizi ..
Sijui kama unachambua au lah,ila huwa nafuata tu codes zako zote,ila jitahid ufanye critical analysis mzeeFDAD8E5
3DBA1F7
14C9191 odds 19
Sportybet
NalisubiriGet ready!.... Kaa mkao wa kuswali!..... Keka la Taifa ! Nalidondosha Soon![emoji123]
Ndo nashangaa mtu hutumi code alafu unakuja kuleta ujinga hapaKama hajatuma anajiropokesha nn
Kampuni uliyovhagua kupata code itakuwa ngumu sanaPole wakuu! Nimeazimia kuanza rasmi kubeti mwaka huu baada ya kumaliza chuo na mambo kuwa magumu hasa kukosa kazi za kufanya mtaani na kama mnavojua sikuhizi ajira zimekuwa ngumu.
Sikuwahi kubeti kwenye maisha yangu ILa nimedhamiria kuanzia sasa naanza rasmi kubeti walau nipate hela ya vocha maana hali ya mtaani sio poa na ukicheki home naonekana mzigo sina msaada wowote.
Bila kupoteza, najua humu kuna wazoefu wa kubeti nami nimeshaanza SASA hivi ila nashindwa kuangalia mkeka nilioubetia maana sina uzoefu na hili masaada wakuu nielekezeni. Natanguliza shukurani.View attachment 2597988
Hizi kauli si nzuri.Tatizo mna taka muamke tajiri kwa akili za wengine .inabidi ukichukua code ui pitie na wewe u edite urudishe code .sio uta copy na ku paste .mikeka mingine una tumia akili yako juu kwa juu uko uko, uwezi kuweka code zote humu
Dah ! Asa itakuwaje mkuu nisaidie kwakweli maana mtaani hali ngumu na ninachokitegemea kunitoa kimaisha ni bet tu uko kote nishakata tamaaKampuni uliyovhagua kupata code itakuwa ngumu sana
Ushamaliza chuo mkuu kama bado bet kistaarabu karibu betpawa,1xbet, SportybetDah ! Asa itakuwaje mkuu nisaidie kwakweli maana mtaani hali ngumu na ninachokitegemea kunitoa kimaisha ni bet tu uko kote nishakata tamaa
Hii vita unayotaka kuanzisha ,sio mchezo kabisa [emoji23][emoji23][emoji23]...Pole wakuu! Nimeazimia kuanza rasmi kubeti mwaka huu baada ya kumaliza chuo na mambo kuwa magumu hasa kukosa kazi za kufanya mtaani na kama mnavojua sikuhizi ajira zimekuwa ngumu.
Sikuwahi kubeti kwenye maisha yangu ILa nimedhamiria kuanzia sasa naanza rasmi kubeti walau nipate hela ya vocha maana hali ya mtaani sio poa na ukicheki home naonekana mzigo sina msaada wowote.
Bila kupoteza, najua humu kuna wazoefu wa kubeti nami nimeshaanza SASA hivi ila nashindwa kuangalia mkeka nilioubetia maana sina uzoefu na hili masaada wakuu nielekezeni. Natanguliza shukurani.View attachment 2597988
Nipe codeLeo tunapoa kihivi hizo zilizoanza code nilishatuma
Nimeshamaliza mkuu. Ndio nimeanza na sportpesa kama unavyoona hapo nilipo screen shot ILa nashindwa kuona mkeka nilioubet maana ndio naanza sina uzoefu nao nisaidie mkuu jinsi ya kucheck huo mkekaUshamaliza chuo mkuu kama bado bet kistaarabu karibu betpawa,1xbet, Sportybet