Kilimbatzz
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 9,131
- 14,611
Tena Burnley nilishamdemote kitambooJamaa wanabonyeza bonyeza tu bila kuchambua, ata Burnley ukimuona kwa sasa kaa nae mbali, tayar ni bingwa
✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️Unatakiwa kufanya analysis ya mechi kabla hujaweka, mamelod mpk sasa ana points 68 anaefuata ana 42 na ligi ndio imeisha hvyo, so tayari yeye ni bingwa anaesubiri kutangazwa tu, attention yao kwa sasa ni club bingwa so usitegemee wacheze jihadi, timu kama hii ukiipa ishinde utaliwa tu, mfno Burnley ni wa kufungwa na rangers tena home?? Burnley tayar ni bingwa.
73F7FA0 - Twende kazi (betPawa) ,
Hizi una stake kati ya 20 - 100Tsh, M za kutosha zinakuja
Kwa siku nakuwa nawekaga sio chini ya beti 30 za kiasi hiki najua ipo siku tu (Max natumia kati ya 1,000/= mpaka 1,500/= au pungufu)
Nna magroup kadhaa wanatuma code ntajitahidi kuzitupia na humu maana mara kadhaa tunakosakosa kwa 1 au 2
Kuedit muhimu Maana mara zote lazima kuna vitimu vitaua inaweza ikatokea ndio hizo ambao umezitoa ukapiga pesa
Moana yupi!?Huyo dogo kwenye avatar boya Sana.
Alitaka kumla kimasihara Moana
D4F52A0 - bPAwa (Edit Muhimu) stake kidogo pesa nyingi unaweza kubahatika maana ni kiasi ambacho hakiumizi kichwa ukikosa
Ni movie Kiongozi. AnimationMoana yupi!?
Aahaaaaa
Unamzungumzia Mawi!?
Aahaaaaaaa
Naomba niuscreenshot hii replyTimu zishachukua Ubingwa Bado Mnaendelea kuzipa Zishinde Hivi Hata wew Ungeweza KupambaniaKitu Ambacho Umeshakipata ?
NB: Kaeni Mbali na Hizi Timu
Mamelodi
Red Star Belgrade
Burnley
Leyton Orient
Napoli ( Huyu akishnda Jmoc)
Celtic
Ha ha ha dogo muhuni sana yuleAahaaaaaaa
Napenda kanavyocheza
Let's go....Tusafishe page kwanza alama za lost zina chafua sh 1 adi page ibaki safi ndo tuendelee View attachment 2599662