Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Potelea pote
 

Attachments

  • Screenshot_20230426-112054~2.png
    7.1 KB · Views: 18
Kampuni Gani?
 
Eti wananong'onezana hivi...

Jamaa: Eti baby nishauri basi jamani kama Arsenal atapata japo goli Moja niweke bondi yule mbuzi mmoja nitie keka! Eti baby si arsenal atapata goli!? Au japo draw eeeh!?

DEMU: Mh mh! Huku anahesabu vidole na kung'ata kucha!.....

Nacheekaa utadhani mazuri...

Linapokuja swala la pesa... kuweka mzigooo.....WEKA KANDO MAHABA YAKO NIUE KWA TIMU YAKO!👇👇👇
 

Attachments

  • FukpF0MakAEHXlw.jpeg
    67.4 KB · Views: 3
Wakulungwa hivi hakuna probability ya arsenal kupata goli 2 kweli kwenye hii mechi!? Akapindua historia yake ya kinyonge KWA city!?...

Odds zinavutia... But ni njia kuelekeza hela yako makaburini!

Nasacrifice pesa kidogo nampa goli 2 over 1.5 odds 3.4... nampa magoli sio ushindi!....ikipotea sawa tu hii ni game
 
D811BD4 betpawa
Treni linaanza safari Leo!!
Na kigoma tutafika j2 INSHAALLAH km hizi mvua hazitaendelea basi tutafika salama!!
Nimejitahidi kufuatilia ko win 85%
Weka stake au edit uwezavyo !!
Mrejesho nitauleta
Mnazidi kunifurahisha wakurugenzi.
Ndo mambo yangu haya.

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
D811BD4 betpawa
Treni linaanza safari Leo!!
Na kigoma tutafika j2 INSHAALLAH km hizi mvua hazitaendelea basi tutafika salama!!
Nimejitahidi kufuatilia ko win 85%
Weka stake au edit uwezavyo !!
Mrejesho nitauleta
ip0 siku ip0 siku narudia tena ip0 siku haya matren yatafika salama kigoma na kanji atalia sanaaa mpk anyee ***** zake..
 
D811BD4 betpawa
Treni linaanza safari Leo!!
Na kigoma tutafika j2 INSHAALLAH km hizi mvua hazitaendelea basi tutafika salama!!
Nimejitahidi kufuatilia ko win 85%
Weka stake au edit uwezavyo !!
Mrejesho nitauleta
Muongozaji nimemwambia asivae miwani, mvua, upepo na radi zikianza atembee taratibu, First Aid kit iwe active wakati wote wa safari, LAZIMA kigoma tufike kwa hili treni, mafundi wamekagua engene na mataluma mengine ko mcjali abiria laleni hku mnaomba mpewe MAUA YENU!!
Ucsahau kufunga mkanda pia
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
ip0 siku ip0 siku narudia tena ip0 siku haya matren yatafika salama kigoma na kanji atalia sanaaa mpk anyee ***** zake..
WIki jana kanji alipapaswa.watu waliweka mia wakala 60k. Sportbet niliweka Tshs 20 nikala 5k.
Sasa siku la odds 1000k likitiki kanji anaomba mkopo benk kuu alipe watu hela zao🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…