JITU BANDIA
JF-Expert Member
- Feb 5, 2023
- 4,368
- 9,937
Nimekuelewa chief, ila corner option siwezi stake high...mkuu kona ni safe zaidi kwa baadhi ya mechi kuliko magoli,
game ya fiorentina, hii ya utd, ya newcastle, ya bournamount, astonvila ni safe kuomba kona over 8.5 kwa sababu wanatoa.......
haya leo soton wametoa over 9.5 kona, ila goli ni under 1.5!
Sisi tuliompa direct win tunakaa wapiHahaha man u tayari kaloa uko[emoji28]
Eka betikaWapendwa nataka kampun ambayo ntakuwa nacheza timu moja tu ila natia mzg wa maana
Kuna mtu kanambia parimatch nimeichukua uongo mtupu ina limit ya pesa ya kubet
kuna game 3 epl unaweza stake high na at over 9.5 conners still ukapata,Nimekuelewa chief, ila corner option siwezi stake high...
Leo naona fiorentina kachana watu wanaobet kwa mazoea,
hiyo game fiorentina alihitaji sare tu..mechi za hivyo Huwa sizibetii
KwaniniBetting ni uxeng.e
weekend weka over 9.5 (newcastle na utd) utapata odds 3+........ naandaa lakiKweli kabisa, kwenye kona mimi naiaminia Newcastle united iwe home au away inatoa sana over za kona.
mtu kaumia[emoji23]Kwanini
Alichonifanyia Man U...acha nikalale tu.Kwanini
Alichonifanyia Man U...acha nikalale tu.
Kaninyima 300k na alikuwa amebaki yeye tu!
We jamaa walimu wako walipata sana shida, uliuliza swali umejibiwa unarudia tena kuuliza tena? 🚮🚮🚮Wapendwa nataka kampun ambayo ntakuwa nacheza timu moja tu ila natia mzg wa maana
Kuna mtu kanambia parimatch nimeichukua uongo mtupu ina limit ya pesa ya kubet
Unampaje direct win Man U amekuwa mshenga wako!?? ama mjombaako huyo!?
Huyu ni wa kumpuuza, aliingia jukwaani kwa kuinjoi watu...We jamaa walimu wako walipata sana shida, uliuliza swali umejibiwa unarudia tena kuuliza tena? 🚮🚮🚮
We jamaa walimu wako walipata sana shida, uliuliza swali umejibiwa unarudia tena kuuliza tena? [emoji706][emoji706][emoji706]
Unampaje direct win Man U amekuwa mshenga wako!?? ama mjombaako huyo!?
Sijawahi muamini Man U hata acheze na timu ya masau bwire Ruvu shooting! Nampa Ruvu X2!
Hakuna zile za supu jombaaaHuyu ni wa kumpuuza, aliingia jukwaani kwa kuinjoi watu...
hata slip za milioni alizokuwa analeta eti amekula niligundua ni za kwenye magroup yao ya watsapp....
Huwezi stake 1million!....halafu usijue over 0.5 inamaanisha nini!? Hata wewe inakuingia akilini kweli mkuu! Nilimpuuza kitambo!
Hauna tren la weekend wiki iliopita timu 58 ziliharibu 3Code ya kona imetoa, hongera Kwa walioifuata.
Mida ya jioni nitaleta treni kiongoziHauna tren la weekend wiki iliopita timu 58 ziliharibu 3