Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

mkuu kona ni safe zaidi kwa baadhi ya mechi kuliko magoli,

game ya fiorentina, hii ya utd, ya newcastle, ya bournamount, astonvila ni safe kuomba kona over 8.5 kwa sababu wanatoa.......

haya leo soton wametoa over 9.5 kona, ila goli ni under 1.5!
Hata mm nimewin leo kwa kona
 

Hope nimekusaidia kukuelewesha dm upunguze kujudge watu [emoji120]
 
Hivi naomba kuuliza wadau, kuna mkeka wa treni umewahi kula uliowekwa humu?
Binafsi tangu nimeanza kuufuatilia huu uzi sijawahi kuona train inatoka Dar hadi kigoma kabla haijapata ajari na nimekuwa nikijitaidi sana kuunga tera(trail) kwenye tren nyingi tu,kama ukikaa ukasubiri train ligote mwisho wa reli utaumia kila siku,haya matreni ni ya kuvizia tu limepunguza mwendo ukashuka(cashout) hata tabora tu kikubwa umesogezwa
 
mkuu kona ni safe zaidi kwa baadhi ya mechi kuliko magoli,

game ya fiorentina, hii ya utd, ya newcastle, ya bournamount, astonvila ni safe kuomba kona over 8.5 kwa sababu wanatoa.......

haya leo soton wametoa over 9.5 kona, ila goli ni under 1.5!
Hakuna option kwenye kubet boss bahati tuu
 
Huwa wanakamia timu kubwa
Halaf mimi nina bahati nao mbaya
Niliwakataa kwa Arsenal, chelsea, na Man utd wakaniharibia, na nikiwafata huwa wanizingua pia...walipigwa na vibonde Grimsby kwenye FA dah nilichoka kabisa.

Duh
 
Hivi naomba kuuliza wadau, kuna mkeka wa treni umewahi kula uliowekwa humu?
mbona hata wiki mbili hazijaisha watu walipiga odds 441 shida ni stake tu mtu kaweka 100 kapata 63k,alietia buku kapata mzigo wa maana mpaka tukashaurian hapa watu waache kustake mia mia lengo treni likifika salama kanji apigwe kweli kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…