Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

mpaka kwenda huko kwa kwa hao wa usd nadhan kimtizamo ni mlolongo mrefu sana
 
mbet sijawah kuwabetia mm ni
meridian
premier
mkekabet
supabet tatzo lao ni jinsi ya kuingza hela
 
meridian ni tatizo aseee..... kuna kaela kangu kalibakimo..... niingie nikatoe yaaani siwezi kulogin, nilikuwa nasikia tu watu wanalalamika kumbe ndio hivi....UNAWEZA KUWA MPANGO WA MHINDI JINSI YA KUTUPUNA , UNAJUA UNAPO LOGIN INAGOMA UNAJARIBU INAGOMA UNATULIA UNAJARIBU TENA INAGOMA UKIINGIA UMECHAGUA MECHI MOJA YA PILI MARA SERVER ERRO LAZIMA UWE FRUSTRATED HAUTOBET KWA UTULIVU LAZIMA ULIWE , NINACHOONA WANAFANYA MAKUSUDI HAWA JAMAAA...POLENI SANA MNAOTUMIA MERIDIAN.... TANGU NIANZE KUTUMIA PREMIERBETTING ONLINE SIJAWAHI KUKUTA HUU UPUUZI HATA SIKU MOJA....
 



You have a point ... itakuwa ni njama hizo kutula vzr!
Hata Mkekabet hawanaga hizo mambo.
 

Hivi unaweza kufananisha Kampuni nyinginezo na Mbet!! M-bet haina machaguo mengi...Angalia uone mifano ya Kampuni zinazofanya kazi...Nenda Meridian, Mkeka bet,Premier....na unaweza ukaifuta hata hiyo App ya M-bet.
 


Chaliiiiiiii .... daaah Ulsan hata wewe??? tena kwa kibonde Jeonnam??? hii kazi ni ngumu lkn kitaeleweka tu. #AlutaContinua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…