Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

hahahahahah! namkubali sana mhindi hajawahi kwenda ligi na mkamalia yeyote yule akashindwa

Ni mwendo wa visu vya tumbo tu.
 
Niliona nijarbu option ya under kwenye tren naona ime tembea hadi uyo boya mmoja alivyo choma nme rebet nione zilizo baki nazo zme toa 8 bado 6..mna onaje tuki anza kutembea umu kwenye tren
 
Binafsi mikeka mingi ya kukopi huwa napoteza,naona bora nitumie tu akili yangu..hizi codes zimekuja kimkakati sana,watu hawaumizi vichwa tena..mbaya zaidi timu zenyewe pia hazieleweki.
 
8F4C7A5 Bet pawa ods 10 game za saa Saba over 1 na over zero. Natafuta mtaji
 
DEFDE3A odds 13 betpawa hii ndo ile aliye uza cheni bandia kalipwa pesa feki[emoji1320][emoji1320][emoji736]
 
Keka la Taifa... 998A4B odds 141....gawa code...zitoke 4 au 5...you may change the markets if you wish...kuna timu 8 humu za straight win... Sina muda hapa...Nna muda wa kugawa na kufanya final edit Ili ni stake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…