Chupuchupu mkuu
70,000Ko ulicashout shingap
Kwenye hii mechi ya Madrid/ Manchester city corners vinaweza kufika 6.5.....7.5.....8.5 kwa wale wa mzigo mkubwa kazi kwenu kutengeneza hata odds 2.5 kwa kuhusisha hii mechiKitu .... moto ...kazi ya kufanya positive edit ni juu yako hapa inatakiwa utengeneze mikeka mingine kama nne hivi ambayo ni positive edit ya huu mkeka ili kujiakikishia ushindi wa mipesa vinginevyo utaishia kulia lia tu kama mbuzi ....ndani ya huu mkeka kuna mechi moja ya kona kwa wale wa mzigo mkubwa wanaweza kuifanyia kazi waweke hata kona 7 au 8 mimi nimeweka 6
D63BA77DView attachment 2615262
Kama Urusi alivyoyakanyagaBrighton kayakanyaga huko..
Kaingia jeshini halafu ye ni Kuruti..
Kazungukiwa kwa nyuma Anapigwa vifuti..
alikwepa ya chembe sasa anavunjwa uti..
Kilimbatzz Mbaga Jr
Kumbe sijui kwanini huo ni wizi sasa ndo maana hawaoneshi asilimiaWakuu mbona sportybet kodi bado 15%[emoji15]
Weka GG...Leo nataka nijilipue nampa city direct win natia mzigo, wataalam imekaaje hii
Huo mzigo ugawanye mafungu 3 kisha fungu moja tia hapaLeo nataka nijilipue nampa city direct win natia mzigo, wataalam imekaaje hii
sa unafutafuta nn