Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ac milan wanataka niua kwa presure hii hela nimewka najiamin ndo maana nimeweka nyingi [emoji27]
 
🎶Kumekucha Kwa uzuri ...... Nafumbua macho.....Bwana amenihifadhi....Ni wake mtoto...

Bwana niwe leo kutwaa....ulinzini mwakoo....🎶....

Sabath morning gospel....tumkumbuke muumba mara Moja Moja wakuu!...

Maana nahisi hili jukwaa limeingiliwa na MAPEPOO! Hakuna WIN WIN WIN! alaa!? Kemea PEPO! La kuloose slips!....
 
Leo nimecheza live game
Ac milan keshapigwa 2-0 na yupo home so nahisi atajitutumua apate goli
Nimeweka jiwe refu kwa mechi kuisha gg
Mniombee maana hela ikiliwa hii ntaumia [emoji23][emoji23][emoji23]
Inter mwenyewe hapo ni home 😆
Kama simba na yanga kwa mkapa
 
2E38E3A

TREN SPORTBETY

NATAKA KUTIA 100K NI UAGE UMASKINI KWA SIKU KADHAA...

USHAULI MUHIMU WAKUU...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…