Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo


[emoji16][emoji16]
 
Inter mwenyewe hapo ni home [emoji38]
Kama simba na yanga kwa mkapa
Ilo kosa la kutokujua viwanja huwa linatuumiza sana sijui tufanyeje tupate ufumbuzi ....makosa ni mengi
Kama
1)kutokujua wafungaji tegemezi watakao kuwa awachezi
2) kutokujua makipa tegemezi watakao kuwa awachezi
3)kutokujua mabeki tegemezi watakao kuwa awachezi
4) kutokujua viwanja hivyo tume kremu tu kuwa wanacheza ugenini au nyumbani kumbe mechi nyingine wote wapo nyumbani kama simba na yanga kwa mkapa au wote wapo ugenini maana mechi kama ya simba na yanga wanaweza kuche za mkoa wowote hivyo kusababisha wote kuwa ugenini ...kama ilivyo kuwa kwenye timu ya taifa ya uganda na tanzania mechi ya kwanza wote walikuwa ugenini
 
Mkuu no need kuyasema hayo..yaani sasa hivi hata wafungaji wakiwepo..kazi bure tu..Mbona kikosi kizuri tu cha MILAN jana..kakosekana LEAO tu..itoshe kusema BETTING NI NGUMU SN NOWDAYS hata ukute odd ya 1.19 Vs 9.50 bdo tu utafeli hata kikosi kiwe full..Ulijua kama man city atapigwa chuma 2 kwake na Brentford?!.
 

Kwa wwnzetu ni tofaut mechi inachezwa uwanja ule ule ila Milan akiwa mwenyeji maana yake 85% ya mashabik wanaingia wake tofaut na huku kwetu
Yaan timu pinzani inapewa tiket kadhaa tu so mwenyeji anafeel yuko home hata kama uwanja ni ule ule ila mgen anakuwa kama yupo ygenini kweli
 
Sasa hapo kwani wafungaji wa timu pinzani awakuwepo wewe umeangalia upande mmoja kama ungeangalia pande zote ungegundua hiyo ngoma ngumu maana wote walikuwa wamekamilika timu zote ....mfano simba na yanga inatakiwa uangalie wafungaji wa timu zote na mabeki wa timu zote na makipq wa timu zote siyo unaangalia upande mmoja tu..kukamilika kwa upande mmoja hakumaanishi kutokukamilika kwa upande wa pili
 
Nimekubali kweli watu wengine wameacha betting

Maana jukwaa lipo kimyaaaa

Bora mpumzike mrejeshe nguvu za kiume,maana la sivyooo balaa zito.
 
US ancona vs lucchese FT HOME


Picerno vs potenza FT HOME


Total odds 4.2




Mtanishukuru baadae.
 
[emoji16][emoji16][emoji16]kaka nmenyoosha mikono[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…