Asante mkuuPole sn mkuu[emoji26]
1-0 ftKatokaje
Singida over 0.5Kmc na singida big stars vip leo???,
Aaah wapi, we ni Agent tu wa hiyo kampuni labdaMkuu hauna tofauti na Mimi.. sportpesa ndio kampuni ilinipa pesa nyingi sana kipindi naitumia.. tangu nimewasaliti nimekuwa nachezea vichapo sio vya nchi hii. Saahz nimekuwa mdangaji tu wa makampuni, Leo kwa meridian, kesho sportybet, kesho kutwa betway, mara betika ... Huko kote ni vifinyo tu hadi namkumbuka Ex wangu SPORTPESA
I hope nitamrudia maana Dunia imenifunza kuwa tamaa sio nzuri. Nilipata Kila kitu kwa sportpesa lakini nikataka vingi zaidi vya nje nikamsaliti. Naapa kutulia nikirudi kwake..
DEAR SPORTPESA...
izo options za goals in first 5 minutes nimezitafuta sana kwenye io app nimezikosa MkuuIpo siku utaniomba namba ili unipe ya pongezi
Zpo mbona na kibaya zaidi mimi sijui kutuma kodi sasa nilipoona maendeleo hayana chama nikaona nilete kwa mfumo huo tufaidi woteizo options za goals in first 5 minutes nimezitafuta sana kwenye io app nimezikosa Mkuu
Kila siku mhindi mhindi,wakati warusi ,waingereza,mpaka wasafi wapoTujaribu kupunguza kuwa local saana......mambo ya kanji ni wayback huko...
Kwa sasa majority ya makampuni ya Betting ni almost wazungu....na baadhi ya watanzania kwa kufanya joint venture...
Msikariri kanji kanji kilasiku! Jukwaa limakuwa Too local!
io option wamei title vipi ili niipate kirahisiZpo mbona na kibaya zaidi mimi sijui kutuma kodi sasa nilipoona maendeleo hayana chama nikaona nilete kwa mfumo huo tufaidi wote
Odds 4
Kwa mfano game ya Newcastle hpo ingia kisha tafuta kipengele kimeandikwa first to happen ukiingia itakuta hiyo option then utanpa mrejeshoio option wamei title vipi ili niipate kirahisi
Nimeipata MkuuKwa mfano game ya Newcastle hpo ingia kisha tafuta kipengele kimeandikwa first to happen ukiingia itakuta hiyo option then utanpa mrejesho
Dua kuna option hazina stress kama hizo na zikipatikana nyengine ziletweNimeipata Mkuu
Dua kuna option hazina stress kama hizo na zikipatikana nyengine ziletwe
Sio kwamba hazina stress bali unapata matokeo mapema kama umekula au umeliwa kichwa! 😋Dua kuna option hazina stress kama hizo na zikipatikana nyengine ziletwe