Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hahahah ... hapa ndipo tunasemaga mpira unadunda, kuna mkeka nimeweka Under 1.5 hii mechi ya France vs Rep.Ireland, sasa you can imagine kazi niliyonayo na kuminya ... yani mpk dk 90 zinaisha ntakuwa nmetoka jasho la kutosha
Hahaahahahaaaa pole sana hapo kuna kila dalili maana cjui kama France watakubali watoke
 
Ahaahaaaa na mm hapa nataka France ashinde kweli kazi ipo


Acha kbs mzazi ... halafu nlitaka kuweka Under 0.5 first half (ningekuwa nimeshalizwa). Bora nimebaki na matumaini lkn kwa jinsi gemu navyoiona nimeamua kuachia tu, ntajitesa bure ... goli la pili naliona kbs hapa. Kuna attempts za kutosha (so far).
 
Hahahah ... hapa ndipo tunasemaga mpira unadunda, kuna mkeka nimeweka Under 1.5 hii mechi ya France vs Rep.Ireland, sasa you can imagine kazi niliyonayo na kuminya ... yani mpk dk 90 zinaisha ntakuwa nmetoka jasho la kutosha

Afu ukute ndo mkeka mama sasa, mie hapa nahis kuzimia.
 
Najaribu kuzichezea sharubu za kanjih
#hatukomi
 

Attachments

  • 1466948253937.jpg
    81.1 KB · Views: 39
Kucheza online raha sana
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1466951077676.jpg
    32.7 KB · Views: 38
Wadau msaada was singe bet moja ili nijilipue vya kutosha.
 
ujerumani vepeee wadau. hii mitimu mikubwa kichwa changu kimestak kubashiri
 
Wa kusoma huyu Chile awez Fanya ya final iliyopita au kipind kile alishinda kwa nguvu ya nyumban
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…