Nimempa Iceland ushindi for the maximum stake 150kKwa hizi odds wacha nimfuate england
Sijajua ni kwa nini Kanjibah kaamua kuzidi kumuamini England kiasi hiki. Dk 45 Iceland anaongoza lkn bado bado Kanji haamini.
Wacha nijilipue to the maximum stake hlf nazima data
Ndio mpk uingieIv wakuu naomba mnifahamishe vizur.. kwenye kudeposite ktk Premier kwa kutumia TigoPesa ni lazma uingie kweny website yao na kutaja kiasi unachotaka kudeposite then ndio ufanye muhamala kwenye tigopesa.. au unaweza ukafanya muhamala wakat wowote bila kuingia kweny website.
Dah.. pw xanaNdio mpk uingie
Wale mliompa England ushindi jiandaeni kwa lolote. Naiona double chance in favour of Iceland ... X2
[emoji5] [emoji38] betting saa nyingine inakuwaga ukichaadah 2+ hii kwa leo ilikuwa ngumu kumeza
View attachment 360719budddy nilifata ule ushaur wako kuwa x2 ndio inawezekana ila nka modify kdogo thanx alot Buddy
hongeraaafvck bet won
pole sana mkuu mie namsubiri huyo harass kanjibahi akikaza baasiBIG UP sn mwana ... hii game kabla haijaanza kuna kitu kilikuwa kinaniambia Iceland anafuzu quarter finals. Lakini bahati mbaya nlikuwa nmeshatupia Under 2.5, daah nmepishana na hela mingi sn
View attachment 360719budddy nilifata ule ushaur wako kuwa x2 ndio inawezekana ila nka modify kdogo thanx alot Buddy