Hehehe...binya zaidi mkuu, sie wengine tushaumia mapemaaa, naona umeamua kumrudishia mchawi mkubwa huyu.Leo lazima faida ya 50k ifike
Sasa ni Kama ifuatavyo
Nzuri vipi wakati toka imerudi nahangaika kuplace bet bila mafanikio mpaka mechi zimeisha.Mkekabet wameongeza tigopesa
Mkeka bet kwenye computer ni nzuri sana
Wanamalizia marekebisho
Nzuri vipi wakati toka imerudi nahangaika kuplace bet bila mafanikio mpaka mechi zimeisha.
hamia merian mkuu.Nzuri vipi wakati toka imerudi nahangaika kuplace bet bila mafanikio mpaka mechi zimeisha.
Aah mm mtazamo wng uko tofaut naona ni bora hivi walivyoongeza option coz ndo tunakuwa na wigo mpana zaidi wa kubet kuliko vipengele vikiwa vichache. Sasa ndo ela zitakuja vizuri. Ni mtazamoTangazo, Tangazo
Naombeni mwongozo tuache kujadili masuala ya mechi za kubet ili kuanzia Saa NNE kamili usiku huu tuwe na kikao cha dharula kuongelea ishu ya MKEKABET kubadilisha muonekano
Naamini humu wamo na sisi in wateja wao kwa hiyo tunaweza kuweka mgomo wa siku tano pasipokutumia Huduma yao mpaka warudishe muonekano na option za zamani.
Nawasililisha kwa taarifa
Hehe..niko pote huko nishapigwa mtaji pekee umebaki mkekabet.hamia merian mkuu.
Wanakata ila iyo ela ya kodi inakuwa km bonas yko tena km una bet kwa website ila ukienda ofisin bonus upati ila unapewa ela kamiliIvi jamani hao meridianbet hawakat kodi mtu akishinda?? Km wana kata ni asilimia ngapi?? Mana kuna screenshot nmeiona hapo imenitia wasiwasi.
ok basi tumia mkekabet.comNdo ninayotumia, ila nikifungulia crome inafunguka hata haibonyezeki yaan siielewi.
kweli mie nmeikubali hii ya sasa zaman web version nilikuwa siwez kuweka bet had mobile version pia wameongeza na kurudisha both tm 2 score,Mkekabet wameongeza tigopesa
Mkeka bet kwenye computer ni nzuri sana
Wanamalizia marekebisho