Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Buddy pole sana. jana mkeka wako nilishindwa kuuchukua, nimeona umetiki. nilikua sehem ambayo haina ntwrk. Ila leo back in business. SPARTA PRAHA vs AS TRENCIN Y
STAKE 100K
Hapa najaribu tu, Kuna mtu anataka mchango wa harusi nimpe. Simpi kizembe lazima apewe mchango na muhindi na sio mm.
 
daaah aseee...... kupata goli moja kipindi cha pili imeshindikana .....
 
Attachments

  • 2o.png
    9.9 KB · Views: 29
eti wameshindwa kufiksha 2-6, wachawi ni shidaaaaaa
 
Attachments

  • 2-6.png
    10.5 KB · Views: 26
Mzee nilikuwa nakutafuta sana mpaka nikatamani nianzishe Uzi wa kutambua mchango wako wa kuanzisha hii thread, mawazo mengine yakawa yananituma eti huenda ulishafariki kumbe upooo!

Nimefurahi sana kukuona leo
[emoji3] [emoji3] [emoji3] mkuu unafurahisha
 
Pole mkuu,leo pia siku what are your shots...
 
hapo ndio anapoturogea ndio maana naonaga niweke tu kokoro.... ukiweka timu chache unapigwa ukiweka nyomi unanyooshwa kwa wachawi wale wale.....
 
Acha kabisa mjomba ... nimefreeze, maana sio kwa mnyooosho huu. Mkeka nlioshinda na ulikuwa na odds nyingi zaidi ya huu nimekula 30K tu (nliweka stake ndogo), huu nliojilipua zimebaki kwa Patel .... mxiiiiiiiiiiuuuuuuuuuuuuuu
 
upepo umekata kabisa..........sijielewi ...... nilijua naamka na 250K .... eti midstyland kashindwa kufika 2, cork city nae huuu ni zaidi ya uchawi tena dhidi ya Linfield....
 
Sijui kwa nn aiseee, walio unaowaaminia wanakuangusha, af wale uliowaacha nje ya mkeka ndo wanafanya mambo. Kama nlivyomuacha Brondby jana.

Ukifanya majaribio, unamla vzr sn ....

Lakini jilipue sasa uone cha mtema kuni.
 
View attachment 361844

Lakini jilipue sasa uone cha mtema kuni.
ndio ujinga yaani nikifiria timu 29, afu midstyland, cork city na stabaek eti ndio wanashindwa kufika mbili..... sikuamini niliowahofia wamepita wauhakika wameshindwa......

nimejitoa ufahamu sasa...... odds 1459..... full uchizi
 
Attachments

  • sw.png
    4.1 KB · Views: 36
4/4
1415 01-07 15:00 Geylang Utd.-Albirex Niigata
Draw No Bet2
1.44
0382 01-07 21:45 Derry City-Dundalk
Total Goals1-3
1.33
0064 01-07 22:00 Wales-Belgium
Double chanceX2
1.16
2179 01-07 20:00 Lillestrom-Tromso
Draw No Bet1
1.35

Total odd3.00
 
Mzee nilikuwa nakutafuta sana mpaka nikatamani nianzishe Uzi wa kutambua mchango wako wa kuanzisha hii thread, mawazo mengine yakawa yananituma eti huenda ulishafariki kumbe upooo!

Nimefurahi sana kukuona leo
Mzee nilikuwa nakutafuta sana mpaka nikatamani nianzishe Uzi wa kutambua mchango wako wa kuanzisha hii thread, mawazo mengine yakawa yananituma eti huenda ulishafariki kumbe upooo!

Nimefurahi sana kukuona leo
hahahha nipo mkuu nilikua likizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…