Mi Mr Wise, Nakupongeza kwa ushindi unaopata Hata
Kabla ya Mechi kuisha....
Ila ugomvi wangu kwakoni mmoja tu
UNA POST AFTER RESULT..........sasa wengine tunaishia kuangalia Won tu.
Nakuomba uPost kabla ya mechi kuanza,ili utusaidie ndugu zako....hahahhaahahhahahahahahahahahhhhajaha
Bet won. Mhindi ananibembeleza nirudi mchezoni.
Cc.
Buddy
Sumve
Bologna
Mtoto wa nzi
Mr wise etc
Nataka nimtupie kilo moja Ureno nikalaleHongera sn Chief ...
Mtanipa matokeoNataka nimtupie kilo moja Ureno nikalale
Ukweli kabisaaaa ajirekebishe mana ss sote lengo ni moja!!
TUPIA TU PESA NJE HIYOMtanipa matokeo
Mtanipa matokeo
Hongera mkuu umeshinda.Mtanipa matokeo
[emoji3] [emoji3] [emoji3] mkuuu moyess inàonekana kanji kakuchanganya sana yani ujeruman na italy tena?germany vs italy first half 0:0 odds 2.30
hahahaaaa ni german na france mkuu uyu kanji atafanya tuweuke tuko busy sana[emoji3] [emoji3] [emoji3] mkuuu moyess inàonekana kanji kakuchanganya sana yani ujeruman na italy tena?
Weee..hao si kama wale alowapiga 7 aisee, bora tumpe tu direct win.Friend match Guangzhou Evergrande Vs Schalke 04
away 4+ goals
Weee..hao si kama wale alowapiga 7 aisee, bora tumpe tu direct win.
Hapana, aliowafunga majuzi ni hawa;Ni hao hao
Google tu mkuu, vichwa vimechoka hapa kwa vipigo.Wazee wenzangu kwa anayejua Baseball.
Mkekabet option zao wanaweka "Race to 2, Race to 3 mpaka Race to 7" please kwa anayejua anitafsirie hizi option