Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Aaaaha!nawasivyokuwa na hiana tengeneza kokolo lako hata la mil 40 wao wanakusubiri kwenye rangi ya kijani&nyekundu...wako poa

Hahahahhahah..! Daah! Naanza na Timu 4 kwanza.

Inabidi wanionee huruma tu,hamna namna...haha

Hiyo Rangi nyekundu Ishindwe na ilegeeeee.
 
Reactions: pri
Hahaha ... sijajua ukitoa mtonyo inachukua muda gani, lkn kwa Odds na Options tuu ... nawakubali sn.

Mi kimenivutia Options na Odds kubwa,nimelinganisha na other companies(They Lead)......

Kwa Mtonyo[emoji58] Nahic masaa mengi yanahusika.
 
Pole Chief, Oakleigh Cannons kambwela leo ... mxiuuuuuuuuuu

Chief kwa stake unazoweka naamini ukicheza InPlay itakulipa,ona mfano wa hizo nilizocheza muda mfupi uliopita.Tatizo langu sio mtu wa stake kubwa..
 
Sina Makuu na Muhindi wa Premier;

Odds 1.92

SJK Goals UNDER 3.5

VPS UNDER 3.5

FC BASEL UNDER 4.5
 
Kama kawaida yake, leo pia hakukosekana kuwepo ... mchawi amenionyesha ushirikiano km kawaida.


 
Jamani hii mechi ya Astana HT wapo 1:3 Mhindi kaweka over 5.5 odd ya 2 mimi nimejitoa mhanga nahitaji goli mbili tu kipindi cha pili.

Stake 300,000, maombi yenu ni mhimu pia
 
Jamani hii mechi ya Astana HT wapo 1:3 Mhindi kaweka over 5.5 odd ya 2 mimi nimejitoa mhanga nahitaji goli mbili tu kipindi cha pili.

Stake 300,000, maombi yenu ni mhimu pia
Bro nakuombea na nadhani unapga hyo
 
Jamani hii mechi ya Astana HT wapo 1:3 Mhindi kaweka over 5.5 odd ya 2 mimi nimejitoa mhanga nahitaji goli mbili tu kipindi cha pili.

Stake 300,000, maombi yenu ni mhimu pia
Hongera mkuu, sipati picha ulivyokuwa umeyabinya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…