ukiwa unayo itabili ikishinda je unapewa pesa ama na odd zake zkoje?
Ahahaha ebu angalieni kama ndivyo nitafute mpesa usiku huu niweke pesa ndefu
Sasa hii njia ya debit/credit card inafanyikaje mana hizi card ni spesho kwa kutoa pesa toka bank account sasa inawezekanaje kupokea pesa ( yani ninashindwa kuielewa kabisa hii njia)Kwa njia ile ile ulodeposit, kama ulideposit kwa paypal watakulipa through paypal kama debit/credit card watakulipia humo
Hadi sasa kati ya mikeka yangu mitatu, miwili iko hai kabisaaaa. Mmoja chali kwa UAE
Mi nlipigwa kma kilo hivi ndani ya wiki mbili hivi nikihesabu...imenishinda mimi sio fani yangu...nimeacha asaivi sjui kma ntarudi.acha nimrudie Mungu kwanza daa
Mi sahv nataka kudili na kadi nyekundu kuzikataa
Leo mimi nilimpa Russia, Ukraine, Ireland and england
Mi nlipigwa kma kilo hivi ndani ya wiki mbili hivi nikihesabu...imenishinda mimi sio fani yangu...nimeacha asaivi sjui kma ntarudi.acha nimrudie Mungu kwanza daa