Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Russia kaanza poa ila UAE kaua mapema kabisa sijui Moroco atafanyaje au kafanyaje
 
Naona USA kashafanya mambo huko na point zake 4 daaaaah German malizia basi na wewe hatutaki kulala bila bila leo
 
Hadi sasa kati ya mikeka yangu mitatu, miwili iko hai kabisaaaa. Mmoja chali kwa UAE
 
Msihamishie watsap group...liacheni hapahapa...mkipeleka kule hpa tutakosa wachangiaji
 
Hakuna whastapp group maana tunazidi 50 na whatsapp haiwezi chukua zaidi ya mtu 50 hivyo naona bora tuendleee hapa hapa kila mtu awe anatoa kilio chake hapa hapa ukiliwa lia na sisi ukishinda tucheke wote maana adui yetu ni mmoja na sisi twapigana kumshinda yeyd
 
Kwa njia ile ile ulodeposit, kama ulideposit kwa paypal watakulipa through paypal kama debit/credit card watakulipia humo
Sasa hii njia ya debit/credit card inafanyikaje mana hizi card ni spesho kwa kutoa pesa toka bank account sasa inawezekanaje kupokea pesa ( yani ninashindwa kuielewa kabisa hii njia)
 
Mi nlipigwa kma kilo hivi ndani ya wiki mbili hivi nikihesabu...imenishinda mimi sio fani yangu...nimeacha asaivi sjui kma ntarudi.acha nimrudie Mungu kwanza daa
 
Mi nlipigwa kma kilo hivi ndani ya wiki mbili hivi nikihesabu...imenishinda mimi sio fani yangu...nimeacha asaivi sjui kma ntarudi.acha nimrudie Mungu kwanza daa

Usikate tamaa ndugu, speaking from experience.
 
Hadi sasa mikeka yote chali maana huyu German kaachia kabisa leo
 
Mi nlipigwa kma kilo hivi ndani ya wiki mbili hivi nikihesabu...imenishinda mimi sio fani yangu...nimeacha asaivi sjui kma ntarudi.acha nimrudie Mungu kwanza daa

Mkuu usiogope hizo zote zitarudi.
Bet what you can afford to lose. Hii iko kwenye rules zao.
 
Dah yaani German unafingwa kabisa kabisa daaah hela yanguuuuu uuuuwi.
Uuuwi kuwa na huruma German hebu rudisha hayo magoli mapema kabla sijaamka maana nasikia mwili wote waumaaaaa. Jamaniiii hii kitu gani.
Yaani wenzako wote wako safi ni wewe tuu ayaya ayaya
 
Ningekuwa na uwezo ningewachapa wachezaji leo. Germans have sold the match
 
Back
Top Bottom