Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Duh..sina hamu, hawa Basel weshafunga hesabu, hata kama tusipojinyonga basi heart attack inaapproach.
 
Hahahaha .. huyu jamaa ni jembee ... kubashiri exactly score, duuuh
 
leo ilikua siku nzuri sana kwa mtu aliyetulia katika kubet. Naona timu nyingi zimetoa magoli yakutosha. Kanji hasusiwi, ili umle lazima ubet. Limerick na UCD wote wametoa Y. daah inaniuma sana maana walipewa 2.3 na 2.2, kesho ngoja niamke alfajiri nianze kuzichimba timu kiyakinifu.
 
Usisahau kutupia madesa.
 
Hahahaha .. huyu jamaa ni jembee ... kubashiri exactly score, duuuh
Kama ni uboya leo ndo tutaudhihilisha, haiwezekani mamia ya mechi zote hizo tukose hata kumi tu, amkeni wazee wenzangu tupambane.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…