Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Narudi kwenye game baada ya likizo ndefu kdgo.... haya ndugu zangu wa china na japan + friendly matches twende kazi ndo muda huu hakuna kulala


kasawaki win
Porto win

jah bles
 
Huyu Jeju Utd kuna mkeka nimemuomba 2+ ... akitosa leo ndio itakuwa mwisho wa kumbetia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…