Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Chief kolokolo halionekani ... ka vp rusha vipande viwili tudese vzr.
Mechi ya kirafiki ya USA na SA under 2.5 wamepewa 4.6 odds, ile naona kama ni pesa vile, SA wamekuwa vizuri recently.
 
Hivi hizi saa za Kuanza Game za Premier zimekaaje? Zinachanganya kweli!![emoji22]
Hahaha..za Premier uwe unaongeza masaa matatu mbele, mfano wakikuandikia 1830hrs (saa kumi na mbili na nusu jioni) wewe ongeza yako matatu ya kichwani, kwa hapo itakuwa 2130hrs (saa tatu na nusu usiku) muda halisi.
 
Ahhahahaha! Daaah!
Ila inabidi warekebishe.
 
Ahhahah, Nitake radhi kwa kweli.....Nina "B" yangu ya nguvu Geog O level......Haijaonyeshwa hiyo GMT na tena pale juu imewekwa Time ambayo ipo sawa na sisi East Africa.

Miaaaa...Ngoja tuendelee kumsaka Mhindi.
Nshapigwa za USO na MR.OULU... UMEBAKI MMOJA WA 2+ anapita nao viking vs stromsgoest
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…