Sumve 2015
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 4,626
- 4,327
Breidablik mapemaa anatufanya tuanze kuyabinya...dah
Daaah wakuu poleni kwa kipigo ... leo nlikuwa safarini hivyo sikuweza kutupia hata mkeka mmoja. Saiv ndio nimepata wasaa wa kuingia humu jamvini. Naona leo nimeepushwa na kipigo, maana najua lazima Sandefjord angenichania na mm.
Ila kwa kuwa tumeshalogwa na huu mchezo, ngoja nisilale bila kubahatisha ....
View attachment 365350
g'nyt guys
Ushauli wa nini tena mkuu? kuturbo usingeweza maana Breidablik alikuwa keshaanza kucheza.Na hapa napo tatu tayari nipeni ushauri faster!!!
Mjomba ni shidaaaa sanaaaa...... Hata hiyo Pelle wa Southampton kasajiliwa Shadong Luneng ya China wakati Chelsea na Everton walimtaka.... Hawa wachina sasa soka lao litakuwa juu sana.... ...kina Cisse Ramirez Hulk pelle .... Ukifika msimu wao wa Kikapu ni shidaaaa..... Ntampiga muhindi akome..... Nasubiri kwa hamu ligi kubwa(EPL,laliga,France, serieA,bundesliga, eredivisie,proleague,),hockey ,CBA(kikapi China) ,NBA.... Kufa yeye kufa Mimi.... Hivi viligi vya kufata misimamo ya ligi tu hata mchezaji moja hujui , wanachezaje hujui , upinzani wao haujui.... Ligi hizi ni kama Finland,Norway,Sweden,Columbia, Chile, Brazil ,Ecuador, Argentina priimera b, Bolivia, Belarus,Latvia,Lithuania,...... Bora Japan na Korea, Thailand Na Singapore....wao sio wachoyo wa magoliDuh..itabidi maji ya mchele yahusike sasa maana hii si kawaida, washenzi wameshindwa kudroo tu tena mpinzani yuko na red card tangu dak za 30, shenzi kabisa.
Asante mkuu uzi mkuu nimeuelewa ila lugha za kimchezo ndo najikongoja huwa nashindwa muda mwingine jinsi ua kufuata wadau mfano anaandika Malmo x2karibu mkuu,
sheria za kubeti
1. beti hela ambayo haitakutoa machozi ukiliwa.
2. usibeti kwa mapenzi yako kwa timu.
3. usirudie timu moja kwa chaguo sawa zaidi ya .mkeka mmoja.
4. improvise, ukirudia jambo lilelile mara elfu utapata tokeo lilelile mara elfu.
5. usiache kubeti kwani ndio njia pekee ya kula hela ya mdosi.
zipo kumi nyingine kesho.....
ukaza buti ukiweza kuvuka kipindi hiki huko mbele kuanzia sept ni mchekea.
Fatilia posts za nyuma utajua tu kwa sasa vichwa vimesizi kwa vipigo, ngoja nikuze mtaji kwa kokoro kwanza.Asante mkuu uzi mkuu nimeuelewa ila lugha za kimchezo ndo najikongoja huwa nashindwa muda mwingine jinsi ua kufuata wadau mfano anaandika Malmo x2
au france
Over 1·5 goals first half
Odds 2.18
Au Baltika. 2.15
Goals 1half. 12+1
Italy-ufarance. 4.80
Exact score. 0.1
HAPO WAKUU HUWA WANANIACHA UKIZINGATIA NABETIA MABANDANI
Hahaha...nimepost huu mkeka ghafla nikajikuta nacheka mwenyewe kwa sauti, kuchanganyikiwa huku..[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Fatilia posts za nyuma utajua tu kwa sasa vichwa vimesizi kwa vipigo, ngoja nikuze mtaji kwa kokoro kwanza.
Sawa mkuuFatilia posts za nyuma utajua tu kwa sasa vichwa vimesizi kwa vipigo, ngoja nikuze mtaji kwa kokoro kwanza.
Mjomba ni shidaaaa sanaaaa...... Hata hiyo Pelle wa Southampton kasajiliwa Shadong Luneng ya China wakati Chelsea na Everton walimtaka.... Hawa wachina sasa soka lao litakuwa juu sana.... ...kina Cisse Ramirez Hulk pelle .... Ukifika msimu wao wa Kikapu ni shidaaaa..... Ntampiga muhindi akome..... Nasubiri kwa hamu ligi kubwa(EPL,laliga,France, serieA,bundesliga, eredivisie,proleague,),hockey ,CBA(kikapi China) ,NBA.... Kufa yeye kufa Mimi.... Hivi viligi vya kufata misimamo ya ligi tu hata mchezaji moja hujui , wanachezaje hujui , upinzani wao haujui.... Ligi hizi ni kama Finland,Norway,Sweden,Columbia, Chile, Brazil ,Ecuador, Argentina priimera b, Bolivia, Belarus,Latvia,Lithuania,...... Bora Japan na Korea, Thailand Na Singapore....wao sio wachoyo wa magoli
Fatilia posts za nyuma utajua tu kwa sasa vichwa vimesizi kwa vipigo, ngoja nikuze mtaji kwa kokoro kwanza.
Hivi jamani namba ya malipo ya premier bett ni ipi
Nashukuru mkuu asante sanaMkuu premier hawana reference number ambayo ni moja kwa Namba zote..... Ila Namba ya kampuni ni 500700 .... Kupata reference number lazima uingie upewe....
mkuu tumia simu kubeti utakuwa kiprofesheno;Asante mkuu uzi mkuu nimeuelewa ila lugha za kimchezo ndo najikongoja huwa nashindwa muda mwingine jinsi ua kufuata wadau mfano anaandika Malmo x2
au france
Over 1·5 goals first half
Odds 2.18
Au Baltika. 2.15
Goals 1half. 12+1
Italy-ufarance. 4.80
Exact score. 0.1
HAPO WAKUU HUWA WANANIACHA UKIZINGATIA NABETIA MABANDANI