mkuu, hivi vitimu vya mchangani ni shida kabisa....mimi nimeamua kwenda likizo ya kubet hadi August. utashangaa kitimu kinapewa 1.01 halafu kinakuja kupigwa na timu iliyopewa 25.0....ni shida!hautokosa timu 10 hapo
Hehhehe...mchawi tiari ndo maana ukicheza hivi unatakiwa uwe na bapa pembeni, odd hawawezi rejesha hilo goli na mkeka ndo ushachanika, hawa washenzi utadhani huwa wananitizama mimi tu nimebet vipi..wameniweza.Mkuu kwa hii style utapoteza pesa sana....Unaweka 10,000 iliupate 87000????????Tena mkeka wa matimu lundo ivyo, yani hapo kutokea mmoja wa kuharibu ni rahisi mno
Nilijua tu hakosekani dah,Pole Mkuu...but kupoteza ni sehemu ya game, tujicheki mbinu zetu tu.Hehhehe...mchawi tiari ndo maana ukicheza hivi unatakiwa uwe na bapa pembeni, odd hawawezi rejesha hilo goli na mkeka ndo ushachanika, hawa washenzi utadhani huwa wananitizama mimi tu nimebet vipi..wameniweza.
Kop mate naomba odds 2 nipate pesa ya beer keshoNilijua tu hakosekani dah,Pole Mkuu...but kupoteza ni sehemu ya game, tujicheki mbinu zetu tu.
Benfica Lisbon - Vitoria SetubalKop mate naomba odds 2 nipate pesa ya beer kesho
Asante sana kopBenfica Lisbon - Vitoria Setubal
Over 1.5 goals (Half time)
Odd 2.21
Jaribu hapa Kop
The bet near mortuaryBenfica Lisbon - Vitoria Setubal
Over 1.5 goals (Half time)
Odd 2.21
Jaribu hapa Kop
Kagoma kuliwa hapa....sorry kopAsante sana kop
Mkuu hii ya draw 0-10 inaitwaje ?Hahahaah Sumve hapo umetiiisha saana...Lazima akae muhindi...umenikumbusha hiyo DRAW 0-10.......Nitaitumia kesho.haahaaa
Naona muhindi anaanza kutoa chozi....
Hii style nzur sana.
Usijali kop kawaida ya betting kula na kuliwa afu nipe tena odds mbili au 1.80 mbka 90 niweke asubuhiKagoma kuliwa hapa....sorry kop
Usijali kop kawaida ya betting kula na kuliwa afu nipe tena odds mbili au 1.80 mbka 90 niweke asubuhi
Mh hapa tayari mkeka ulienda mochwari kitambohaha hii option ya draw hii.. unatakiwa ukisubmit unywe valiamu na viagra kwa pamoja ili akili ipalanganyike..
Hehehe...USA Baby uwe unatusaidia yanapokuja mambo ya MSL humu maana liligi lenu huko halitabariki, jana Dallas kapigwa 0-5 na kitimu cha mkiani wakati ye anaongoza East.Bibie Wema....mambo?
Hahaha...ndo nimeshtuka saizi yaani sina hamu, odds 58 hizi zimeniuma sana aisee.Hahaaaaaaaa! Naona watu wote kiimyaaaaa!
Wapi wazee wa kokoro
Sumve
Mtoto wa nzi
Acheni hizo mambo
Umejimalza mwenyewe naona under 3.5 ilikuwa poa ila ukapenda odds za GG. Pole sana.Hahaha...ndo nimeshtuka saizi yaani sina hamu, odds 58 hizi zimeniuma sana aisee.
Ahahaha Kweli betting ni biashara kichaa. Nilimpa Boca juniorNoumer sana, Independeate kapewa odd 9 na kashinda