Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Jamani bado Sheeda kusign up premier maana kila nikiweka namba ya simu wanasema too long mara to shoot duuu

Namba ya Simu unawekaje?? Weka na ile sifuri ya mwanzo...mfano; 0754.........
Au umeingia Site ya Rwanda...????[emoji23][emoji23]
 
msaada bandugu
kuangalia bet history kwenye premier bet",.. (japo ukakasi mtupu)
 
Angalau leo nimetoa nuksi licha ya waingeleza kunichania mmoja dak ya mwisho ya mchezo.
Hahhaaaaaa! Kaka hiyo history ni noma, kuna kipindi wakati Mkeka bet hawajaroga nilikuwa nikiingia history naona kijani tupu lkn baada ya kuroga nikikuwa naona vyekundu mpaka nataka kulia
 
Jamani naombeni msaada asubuhi nilituma text kwenye huu uzi saiz Sheeda yangu ni kila nikiweka user name wakati na sign up premier naambiwa invalid niujuzen plz
# thanks
 
Hahhaaaaaa! Kaka hiyo history ni noma, kuna kipindi wakati Mkeka bet hawajaroga nilikuwa nikiingia history naona kijani tupu lkn baada ya kuroga nikikuwa naona vyekundu mpaka nataka kulia
Hahaha...sio hapo tu, nilikuwa naenda wiki ya 3 sasa bila kijani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…