mkuu
binjo, bado hamna jinsi ya kumfunza mtu awe punter mzuri, jitihada zako zitakufikisha huko, nawe unajibidiisha sana hope utakuwa mahili siku zijazo.
binafsi nitakushauri ujiunge premierbet, au iplay8casino nafikiri itakuwa online wiki mbili zijazo kibongo hao nafikiri washindani wa meridian wakipishana kwa mambo machache.
mechi A vs B Yanga(1-0) vs Mediana(1-0)
dimba taifa
muda 16:00
Normal
1(1) x(3) 2(2)
hii ni kwa dkk 90 + za ziada ila hausu 30 za nyongeza.
1 A ashinde
2 B ashinde
3 watoke draw ~ umeshinda
,handcap
1(4) x(6) 2(5)
mfn
A(+1) vs B
hapa mmoja anakuwa amepewa goli kabla ya mechi hivyo kama ni A kapewa
4 A ashinde au draw ~ umeshinda
5 B ashinde kwa angalau tofauti ya goli 2
6 A afungwe kwa tofauti ya goli moja 0-1, 1-2, 2-3,.....
First half result
1(10) x(12) 2(11)
matokeo kipindi cha kwanza dkk 0 - 45
10 A ashinde
11 B asinde
12 draw kipindi cha kwanza ~ umeshinda
Second half result
1(13) x(15) 2(14)
kama hapo juu ila hawahesabii matokeo ya kipindi cha kwanza inakuwa kuanzua dkj 45 - 90+.
Wire1.5
1(16) 2(17)
Wire2.5
1(18) 2(19)
Wire3.5
1(20) 2(21)
wire zinahusu magoli yawe chini au juu ya 2, 3, 4
Half with most goals
1(22) x(24) 2(23)
22 kipindi cha kwanza ukijumlisha idadi ya magoli yazidi cha pili ~ umeshinda
23 kinyume cha hapo juu
24 idadi iwe sawa
Odd or even
0.(25) e26
jumla ya magoli
25 yasigawsnyike kwa mbili
26 yagawanyikr kwa mbili kwa mfn wa yanga hapa umeshinda, hint 0 inaweza kuwa tofauti kwa nyumba uliyopo ila inadondokea 26.
Both teams score?
Yes(27) no(28)
kila timu ishinde au la, hint: mara nyingi inakuwa dkk 90 ila inaweza kuwa 0-45, 45-90.
27 ndio ~ umeshinda
28 hapana
Draw no bet
unapewa hela timu ikishinda
unarudishiwa wakitoa draw
unaliwa ikifungwa timu uliyoichagua
1(28) Yanga ishinde droo unarudishiwa hela
2(30) mediana ishinde draw unarudishiwa hela
; sija proof read nakimbilia kuandaa mkeka kama kuna wasi popote usisite, kuuliza, kuongezea ..... jiridhishe na nyumba uliyopo maelezo yanaweza yakapishana kidogo.